Ufafanuzi wa utoko katika Kiswahili

utoko

nominoPlural toko

  • 1

    ute unaotoka kwenye sehemu za uke, agh. kwa kufanya kitendo cha kujamii au kwa kupata hisia za kitendo hicho.

Matamshi

utoko

/utɔkɔ/