Ufafanuzi wa utomondo katika Kiswahili

utomondo

nominoPlural tomondo

  • 1

    nyuzi zinazotoka kwenye mtomondo ambazo hutumika kutengenezea mishipi au nyuzi za zeze.

Matamshi

utomondo

/utɔmɔndɔ/