Ufafanuzi wa utoro katika Kiswahili

utoro

nominoPlural utoro

  • 1

    jinsi au namna ya kutoroka.

  • 2

    tabia ya kuondoka mahali mara kwa mara bila ya kutoa taarifa.

Matamshi

utoro

/utɔrɔ/