Ufafanuzi wa utosi katika Kiswahili

utosi

nomino

  • 1

    sehemu ya juu katikati ya kichwa ambayo kwa mtoto mchanga huchezacheza.

Matamshi

utosi

/utɔsi/