Ufafanuzi wa utotoni katika Kiswahili

utotoni

kielezi

  • 1

    katika wakati wa umri mdogo, wakati wa utoto.

Matamshi

utotoni

/utɔtɔni/