Ufafanuzi wa utukutu katika Kiswahili

utukutu

nominoPlural utukutu

  • 1

    hali ya kutotulia.

    usumbi, utundu

Asili

Kar

Matamshi

utukutu

/utukutu/