Ufafanuzi msingi wa utumbuizo katika Kiswahili

: utumbuizo1utumbuizo2

utumbuizo1

nominoPlural tumbuizo

 • 1

  jinsi au namna ya kuleta sauti za kuburudisha na kufurahisha.

 • 2

  starehe anayoiona mtu wakati anaposikia sauti za kuburudisha au kufurahisha, kama zile za nyimbo, ngoma au muziki.

Matamshi

utumbuizo

/utumbuIzɔ/

Ufafanuzi msingi wa utumbuizo katika Kiswahili

: utumbuizo1utumbuizo2

utumbuizo2

nominoPlural tumbuizo

Fasihi
 • 1

  Fasihi
  utungo wa kishairi wenye mishororo mingi na mizani ndefundefu.

Matamshi

utumbuizo

/utumbuIzɔ/