Ufafanuzi msingi wa utume katika Kiswahili

: utume1utume2

utume1

nomino

  • 1

    hali ya kupewa madaraka ya kufanya jambo fulani.

    utumishi

Asili

Kar

Matamshi

utume

/utumÉ›/

Ufafanuzi msingi wa utume katika Kiswahili

: utume1utume2

utume2

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    kazi ya mtume.

Asili

Kar

Matamshi

utume

/utumÉ›/