Ufafanuzi wa utumishi katika Kiswahili

utumishi

nominoPlural utumishi

  • 1

    idara ya serikali inayohusika na kuajiri na kuwaendeleza wafanyakazi.

    ‘Tume ya utumishi itawachukulia hatua za kinidhamu’

  • 2

    hali ya kutenda kazi ya kuajiriwa kwa mujibu wa kanuni zilizowekwa.

    utume

Asili

Kar

Matamshi

utumishi

/utumi∫i/