Ufafanuzi wa utumwa katika Kiswahili

utumwa

nominoPlural utumwa

  • 1

    mfumo wa kijamii au hali ya kumiliki mtu kama mali na kutumwa bila malipo yoyote.

    ‘Heshima si utumwa’
    ‘Hewala si utumwa’

Matamshi

utumwa

/utumwa/