Ufafanuzi wa utunda katika Kiswahili

utunda

nominoPlural tunda

  • 1

    ushanga unaovaliwa kiunoni mwa mwanamke.

    ukogo

Matamshi

utunda

/utunda/