Ufafanuzi wa utunduizi katika Kiswahili

utunduizi

nominoPlural utunduizi

  • 1

    utunzaji wa kitu; uangalifu wa jambo.

    utunduivu

Matamshi

utunduizi

/utunduwizi/