Ufafanuzi wa utungo katika Kiswahili

utungo

nominoPlural tungo

  • 1

    kitu kilichotungwa.

  • 2

    kazi ya sanaa inayotumia lugha k.v. shairi, wimbo, tenzi au semi.

Matamshi

utungo

/utungɔ/