Ufafanuzi wa utuuzima katika Kiswahili

utuuzima

nominoPlural utuuzima

  • 1

    ukubwa wa mtu kiumri na kimwili; hali ya kukua na kukomaa kwa mtu.

    ushaibu

Matamshi

utuuzima

/utuuzima/