Ufafanuzi wa uunzi katika Kiswahili

uunzi

nominoPlural uunzi

  • 1

    jinsi au namna ya kuunda kitu.

    uundaji

Matamshi

uunzi

/u:nzi/