Ufafanuzi wa uvati katika Kiswahili

uvati

nominoPlural uvati

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    ubao wa mbavuni unaozunguka upande wa juu wa jahazi.

Matamshi

uvati

/uvati/