Ufafanuzi wa uvivu katika Kiswahili

uvivu

nominoPlural uvivu

  • 1

    hali ya kutotaka kufanya kazi; hali ya ulegevu katika kazi.

    ukunguni, utepetevu, ulegevu, uzimbezimbe, ubwete

Matamshi

uvivu

/uvivu/