Ufafanuzi wa uvoo katika Kiswahili

uvoo

nomino

  • 1

    kikuku cha pembe au cha shanga cha kuvaa mkononi.

Matamshi

uvoo

/uvÉ”:/