Ufafanuzi wa uvuguvugu katika Kiswahili

uvuguvugu

nominoPlural uvuguvugu

  • 1

    hali ya kati ya ubaridi na joto.

    fufutende

  • 2

    msisimko

Matamshi

uvuguvugu

/uvuguvugu/