Ufafanuzi wa uvulana katika Kiswahili

uvulana

nominoPlural uvulana

  • 1

    muda anaoishi kijana wa kiume kabla ya kuoa; hali ya kijana wa kiume.

Matamshi

uvulana

/uvulana/