Ufafanuzi wa uvunjaji katika Kiswahili

uvunjaji

nomino

  • 1

    tendo la kuvunja kitu au jambo.

Matamshi

uvunjaji

/uvunʄaʄi/