Ufafanuzi msingi wa uvutaji katika Kiswahili

: uvutaji1uvutaji2

uvutaji1

nomino

  • 1

    tendo au namna ya kuvuta kitu kv.

  • 2

    sigara, kiko, n.k..

Matamshi

uvutaji

/uvutaʄi/

Ufafanuzi msingi wa uvutaji katika Kiswahili

: uvutaji1uvutaji2

uvutaji2

nomino

  • 1

    tendo la kufanya kitu kifuate kingine.

Matamshi

uvutaji

/uvutaʄi/