Ufafanuzi msingi wa uwanga katika Kiswahili

: uwanga1uwanga2

uwanga1

nominoPlural wanga

  • 1

    mmea kama kiazi mbatata unaozaa kitunguu.

Matamshi

uwanga

/uwanga/

Ufafanuzi msingi wa uwanga katika Kiswahili

: uwanga1uwanga2

uwanga2

nominoPlural wanga

  • 1

    unga wa kitunguu cha uwanga.

  • 2

    wanga, kanji, nisha

Matamshi

uwanga

/uwanga/