Ufafanuzi wa uwezo katika Kiswahili

uwezo

nominoPlural uwezo

  • 1

    hali ya kuweza kufanya jambo.

    satua, tani

  • 2

    madaraka

Matamshi

uwezo

/uwɛzɔ/