Ufafanuzi msingi wa uyabisi katika Kiswahili

: uyabisi1uyabisi2uyabisi3

uyabisi1

nominoPlural uyabisi

 • 1

  hali ya kuwa kavu; hali ya kuwa gumu.

Matamshi

uyabisi

/ujabisi/

Ufafanuzi msingi wa uyabisi katika Kiswahili

: uyabisi1uyabisi2uyabisi3

uyabisi2

nominoPlural uyabisi

 • 1

  vipande vya ngozi visivyo hai vinavyobanduka, agh. kichwani.

  mba

Asili

Kar

Matamshi

uyabisi

/ujabisi/

Ufafanuzi msingi wa uyabisi katika Kiswahili

: uyabisi1uyabisi2uyabisi3

uyabisi3

nominoPlural uyabisi

 • 1

  ubaridi wa mifupa.

Asili

Kar

Matamshi

uyabisi

/ujabisi/