Ufafanuzi wa uyoga katika Kiswahili

uyoga

nominoPlural uyoga

  • 1

    mmea wa jamii ya kuvu wenye umbo la mwavuli unaoota agh. katika sehemu zenye udongo wa mimea iliyooza au katika majani ambamo walichungwa ng’ombe na kuacha mbolea, au msituni ambamo magogo ya miti yameoza.

Matamshi

uyoga

/ujɔga/