Ufafanuzi wa uza katika Kiswahili

uza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    badilisha kitu kwa fedha au kwa kitu.

Matamshi

uza

/uza/