Ufafanuzi wa uzalishaji katika Kiswahili

uzalishaji

nominoPlural uzalishaji

  • 1

    hali ya kutengeneza bidhaa au kupata mazao kwa wingi.

Matamshi

uzalishaji

/uzali∫aʄi/