Ufafanuzi wa uzamifu katika Kiswahili

uzamifu

nomino

  • 1

    masomo ya shahada ya tatu apatayo mtu baada ya kufuzu shahada ya pili.

Matamshi

uzamifu

/uzamifu/