Ufafanuzi wa uzandiki katika Kiswahili

uzandiki

nominoPlural uzandiki

  • 1

    hali ya unafiki.

    fukufuku, usongombwingo, udaku, umbeya, uheke, uongo

Matamshi

uzandiki

/uzandiki/