Ufafanuzi wa uzao katika Kiswahili

uzao

nomino

  • 1

    jumla ya watu wa ukoo fulani; jumla ya watu wenye kutokana na kizazi fulani.

    uzawa, nasaba, tumbo

Matamshi

uzao

/uzaÉ”/