Ufafanuzi wa uzawa katika Kiswahili

uzawa

nomino

  • 1

    kikundi cha watu wanaotokana na nasaba moja.

    mlango, ukoo, uzao, uzazi, ufungu

Matamshi

uzawa

/uzawa/