Ufafanuzi wa uzazi katika Kiswahili

uzazi

nominoPlural uzazi

  • 1

    namna au jinsi ya kuzaa.

    ‘Uzazi wa majira’

  • 2

    uzawa, chango, kizazi

Matamshi

uzazi

/uzazi/