Ufafanuzi wa uzi katika Kiswahili

uzi

nominoPlural nyuzi

  • 1

    ugwe mwembamba, agh. hutokana na pamba, mkonge au sufi, hariri na vitu vya kughushi.

Matamshi

uzi

/uzi/