Ufafanuzi wa uzimbezimbe katika Kiswahili

uzimbezimbe

nomino

  • 1

    hali ya kupooza; unyongeunyonge katika kazi.

    uvivu

Matamshi

uzimbezimbe

/uzimbɛzimbɛ/