Ufafanuzi wa uzimuaji katika Kiswahili

uzimuaji

nomino

  • 1

    kitendo cha kuzimua.

    mzimuo

Matamshi

uzimuaji

/uzimuwaŹ„i/