Ufafanuzi wa uzingo katika Kiswahili

uzingo, uzinge

nomino

  • 1

    kitu chenye kuzinga.

  • 2

    hali ya kitu kuzingira kingine.

Matamshi

uzingo

/uzingÉ”/