Ufafanuzi wa uzinzi katika Kiswahili

uzinzi

nominoPlural uzinzi

  • 1

    hali ya ukware.

    uasherati, uzinifu, dondoo, ukahaba, utaleleshi

Asili

Kar

Matamshi

uzinzi

/uzinzi/