Ufafanuzi msingi wa uzito katika Kiswahili

: uzito1uzito2

uzito1

nominoPlural uzito

 • 1

  hali ya kulemea.

  uzani

 • 2

  hali ya kutokuwa -epesi.

  farumu

Matamshi

uzito

/uzitɔ/

Ufafanuzi msingi wa uzito katika Kiswahili

: uzito1uzito2

uzito2

nominoPlural uzito

 • 1

  umuhimu wa jambo.

  ‘Chama kitalipa uzito unaofaa ombi hilo’

Matamshi

uzito

/uzitɔ/