Ufafanuzi wa uzoaji katika Kiswahili

uzoaji

nomino

  • 1

    namna au tendo la kuondoa kwa wingi vitu vilivyokusanywa.

    kumbakumba

Matamshi

uzoaji

/uzɔwaʄi/