Ufafanuzi wa uzoefu katika Kiswahili

uzoefu

nomino

  • 1

    hali ya kukaa au kujishughulisha na jambo au kitu kwa muda mrefu.

Matamshi

uzoefu

/uzɔwɛfu/