Ufafanuzi wa uzoroteshaji katika Kiswahili

uzoroteshaji

nominoPlural uzoroteshaji

  • 1

    tendo la kuchelewesha jambo.

Matamshi

uzoroteshaji

/uzɔrɔtɛ∫aʄi/