Ufafanuzi wa uzuiliaji katika Kiswahili

uzuiliaji

nominoPlural uzuiliaji

  • 1

    hali au namna ya kuzuia.

    uzuizi

Matamshi

uzuiliaji

/uzuwilijaʄi/