Ufafanuzi msingi wa uzuri katika Kiswahili

: uzuri1uzuri2

uzuri1

nominoPlural uzuri

  • 1

    hali ya kupendeza.

    haiba, urembo, wema, lila

Matamshi

uzuri

/uzuri/

Ufafanuzi msingi wa uzuri katika Kiswahili

: uzuri1uzuri2

uzuri2

nominoPlural uzuri

  • 1

    vitu vya urembo k.v. manukato, marashi, uturi au rangi.

    ‘Muuza uzuri’

Matamshi

uzuri

/uzuri/