Ufafanuzi msingi wa vaa katika Kiswahili

: vaa1vaa2

vaa1

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  zingirisha au eneza kitu k.v. nguo, ngozi au shanga katika sehemu ya mwili.

  ‘Vaa shati’
  ‘Vaa saa’
  ‘Vaa mkufu’

Matamshi

vaa

/va:/

Ufafanuzi msingi wa vaa katika Kiswahili

: vaa1vaa2

vaa2

nominoPlural vaa

 • 1

  kijiti au kibao kinachopigiliwa kwenye chombo k.v. jahazi ili kufungia kamba ya tanga.

Matamshi

vaa

/va:/