Ufafanuzi wa vaiza katika Kiswahili

vaiza

nominoPlural vaiza

  • 1

    paneli k.v. ya plastiki, n.k. ndani ya dari la gari juu ya kioo cha mbele, inayoweza kuteremshwa kukinga macho ya dereva na miali ya jua.

Matamshi

vaiza

/vajiza/