Ufafanuzi wa vali katika Kiswahili

vali

nominoPlural vali

  • 1

    kipira kiwekwacho kwenye tyubu ya gurudumu k.v. la baiskeli au gari kinachofanya kazi ya kuruhusu upepo kuingia ndani na kuzuia usitoke nje.

Asili

Kng

Matamshi

vali

/vali/