Ufafanuzi wa valia katika Kiswahili

valia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    vaa mavazi mazuri ya kupendeza.

Matamshi

valia

/valija/