Ufafanuzi wa vamia katika Kiswahili

vamia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

 • 1

  fanya jambo kwa pupa au kwa ghafla k.v. kumrukia mtu.

  ‘Haya mambo ameyavamia tu, hana ujuzi nayo’
  akua

 • 2

  shambulia bila ya kuwa na haki ya kufanya hivyo.

  ‘Nilikuwa nimekaa, akaja akanivamia’
  hamia, hujumu

Matamshi

vamia

/vamija/