Ufafanuzi wa vangavanga katika Kiswahili

vangavanga

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    vuruga habari kwa kutojua vizuri au kwa ajili ya kutaka isieleweke vizuri.

    ‘Tulipomwuliza alibaki kuvangavanga tu’

Matamshi

vangavanga

/vangavanga/